Kila utaemfika, mshike usimuwache, mwambie zimechafuka, si za unga si za miche, kwa vipi zitasafika, au vivo tuziwache, sabuni imechafuka kipi tuisafishie.

Licha ya burudani utakayoipata kupitia tenzi hii lakini pia tafakari kwa undani, neno Sabuni lina maana gani, Zenji Update inaamini kupitia tafsiri utakayoipata utajufunza mengi sana. Burudika na shairi hili mwanana kutoka kwa vijana wetu wa Kizanzibari.