MKURUNGEZE WA IDARA YA ARDHI MOHAMMED SAID CHANDE AMESEMA ENDAPO MASHEHA WATATUMIA IPASWAVYO KANUNI MPYA ZA UHAULISHAJI WA ARIDHI KUTABORESHA UTARATIBU WA KUOMBA UHAULISHAJI KUWA WA KISASA NA KUONDOSHA MIGOGOGORO ISIYOKUWA YA LAZIMA KWA WANANCHI.
MKURUNGENZI CHANDE AMESEMA HAYO KATIKA MKUTANO WA KUTOWA ELIMU YA UTUMIAJI WA SHERIA NAMBA SITA YA 2015 NA KANUNU YAKE UHAULISHAJI WA ARDHI KWA MASHEHA WA WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA.
AMESEMA LENGO LA MABORESHO HAYO NI KUONGEZA UFANIS WA UTENDAJI KATIKA KUHAULISHA ARIDHI KWA WANANCHI..
KWA UPANDE WAKE MRATIB WA KAMISHENI YA ARDHI PEMBA FAKI ALI MAKAMEAMESEMA KUTUMIKA KWA UTARTIBU HUO MPYA WA UHAULISHAJI WA ARIDHI KUTA SAIDIA KUTOWA HAKI YA KUMILIKI KUPATA ARIDHI KWA MUJIB WA SHERIA NA KUONDOA MIZOZO YA KIJAMII.
NAYE MWANASHERIA WA KAMISHENI YA ARDHI ABDALA JUMA SALUM AMEWATAKA MASHEHA KUTO ZUWIA FOMU ZA UHAULISHAJI ARIDHI ZA WANANCHI NA BADALA YA KUZIWASILISHA WILAYANI BAADALA YA KUCHUKUWA HATUWA YA KUIZUWIA FOMU HIYO.
0 Comments