RAIS MWINYI AFUTARISHA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi  maalum wakiwemo  Wazee, Yatima,  Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa, Masheikh, na Maimamu wa Misikiti wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari ya pamoja alioiandaa.
Hafla hiyo imefanyika ZSSF, Tibirinzi  Mkoa wa Kusini  Pemba tarehe 18 Machi 2025.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi amewasisitiza Wananchi kuendelea kuiombea Nchi Amani wakati huu ikielekea katika Uchaguzi Mkuu pamoja na Viongozi Wakuu wa Nchi .

Post a Comment

0 Comments