WAANDISHI WA HABARI WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI PEMBA

leo tarehe 17 mey klabu ya waandishi wa habari Pemba PPC wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari, ambapo kila ifikapo may 3 dunia huadhimisha siku ya uhauru wa vyombo vya habari kitaifa.
Maadhimisho hayo ambayo yalihudhuriwa na viongozi wa serekali na taasisi binafsi, sambamba na waandishi wa vyombo mbali mbali kisiwani Pemba

Post a Comment

0 Comments