Waliowengi katika vijana,hawaipi kipaombele sekta ya kilimo, labda kwasababu hawakipendi au wanamtazamo dhaifu na kilimo kama vile, kulima ni kazi ya wazee, kilimo ni kazi ya kishamba au kilimo kinapoteza muda nk.
Ukweli ni kwamba, kilimo kwa siku hizi tulizonazo ni kitu kinachoweza kukukwamua kimaisha haraka sana na kiwepesi. Vijana amkeni kilimo hakimtupi mtu.
0 Comments