UKURASA MPYA WA SAYANSI YA MALEZI NA MAKUZI YA AWALI YA MTOTO WAFUNGULIWA ZANZIBAR

Agosti 13 ni siku muhimu Kwa Zanzibar, ambayo inafungua ukurasa mpya wa Sayansi ya Malezi na Makuzi ya Awali kwa Maendeleo ya Mtoto nchini, Kupitia Kampeni Maalum Ya ECD, katika eneo la Mapinduzi SQUARR KISONGE, Nisiku muhimu Kwa wananchi wa Zanzibar katika kuhakikisha watoto wetu wanakua na afya nzuri katika makuzi yao, shime shime hakuna kumuacha mtu nyuma.
#wizarayaafya 
#ECD 
#PPC 
#UTPC 
#afyakwanza

Post a Comment

0 Comments