Camera ya mtandao huu iliona jinsi ardhi ilivyoharibika kwa kuchimbwa mchanga, eneo hili linapatikana huko katika kisiwa cha UZI Zanzibar .


Baadhi ya wananchi wanasema, kuna baadhi ya vijana ndio waliofanya uharibifu huu kwa kuchota mchanga.

WITO.

Kila mmoja awe mtunza mazingira, maeneo kama haya yanaathiri sana mazingira kwakua hata kujenga kwake ni lazima gharama itakua kubwa ukilinganisha na ardhi kuwa kawaida.

Kutunza na kuyahifadhi mazingira ni jukumu la kila mtu, yatunze na kuyapenda , pia hamasisha wenzako kuyatunza mazingira yetu.