Mwakilishi wa jimbo la ole Msoud Ali Moh’d mewataka wazazi walezi na walimu wa jimbo la ole
kuwahimiza watoto katika kukihifadhi kitabu cha kur an sambambsa na kufata maamrisho yake ili wawe radhi na allah huko jimboni kwake mara baada ya kumalizika mashindano ya kuhifadhisha Qur an leo tarehe 23/3/205
0 Comments