Waziri wa Kilimo, Umwagiliaj, Maliasili na Migugo Mhe. Shamata Shaame Khamis akiwa na Makatibu Wakuu wa OMKR na Kilimo wakishirikia na wananchi mbali mbali kushiriki zoezi la upandaji wa miche ya mikoko huko Bumbwin Mafufuni, Mkoa wa Kaskazini, Unguja wakati wa SIKU YA MISITU DUNIANI.
0 Comments